• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua za Watumishi |
    • Malalamiko |
Kigoma Ujiji Municipal Council
Kigoma Ujiji Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa Kigoma Ujiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Rasilimali Watu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango,Takwimu na Usimamizi
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
      • Afya
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Sekta ya Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha Ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati Za Kudumu Za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Ukimwi
      • Kamati Ya Maadili
      • Uchumi Afya na Elimu
    • Ratiba
      • Kamati Za Madiwani
      • Ratiba Kuonana Na Meya
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyo Kamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba
    • Picha za Kuona
      • Mh.Meya
    • Tukio
    • Habari

ZAIDI YA WANANCHI 2300 KIGOMA UJIJI WAMEENDELEA KUNUFAIKA NA UJENZI WA SOKO LA MWANGA. Market Construction

Posted on: February 17th, 2026

Ujenzi wa Soko la Mwanga Kisasa unaendelea kutekelezwa chini ya Mradi wa kuboresha Miji na Majiji kiushindani Nchini Tanzania (TACTICS) ukifadhiliwa na benki ya Dunia.


Tangu kuanza kwa ujenzi, Mradi  umetoa ajira wakiwemo Wataalamu, Mafundi sanifu na Wasaidizi (vibarua) zaidi ya Elfu mbili Mia tatu (2300), wenyeji wa Manispaa ya Kigoma/Ujiji wakipewa kipaumbele.


Katika utekelezaji wa mradi Jamii imekuwa ikishirikishwa, na Wanaume zaidi ya Elfu moja mia sita (1,652) na Wanawake zaidi ya Mia Sita (648) wameendelea kunufaika na ajira mbalimbali katika Ujenzi huo.


Ujenzi wa Soko la Mwanga umeendelea kuwa na  manufaa kwa Wajasiriamali kwa kuongeza kipato kutokana na ununuzi wa malighafi ikiwemo kokoto, mawe, mchanga na kuendelea kukuza uchumi wa Wakazi wa Manispaa hiyo.


Wanufaika Wengine ni pamoja na Wajasiriamali wa Chakula (Mama na Baba Lishe), Maafisa usafirishaji (Bodaboda) Wauzaji wa maji na wengine wengi.


Ujenzi wa mradi huu unatarajiwa kukamilika April 24, Mwaka huu na utaboresha miundo mbinu ya Wafanyabishara , kuvutia wawekezaji na kukuza uchumi wa Wakazi wa Manispaa ya Kigoma/Ujiji.

Matangazo

  • NYARAKA ZA WAKUU WA SHULE WALIMU WAKUU October 10, 2022
  • Ufatiliaji wa Kina Kusaka wasiokata Leseni za Biashara 2017 March 20, 2017
  • Fedha za Mradi wa P4R mwezi Machi 2017 April 13, 2017
  • Fedha za Mradi wa Barabara Machi 2017 April 13, 2017
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • ZAIDI YA WANANCHI 2300 KIGOMA UJIJI WAMEENDELEA KUNUFAIKA NA UJENZI WA SOKO LA MWANGA. Market Construction

    February 17, 2026
  • WASICHANA KIGOMA UJIJI WAHAMASISHWA KUPENDA MASOMO YA SAYANSI. Student

    February 16, 2026
  • "TUKUBALI MABADILIKO YA KIDIGITALI KATIKA KUTOA HUDUMA" KISENA MABUBA. Municipal Director

    February 16, 2026
  • "SIMAMIENI UKUSANYAJI WA MAPATO" DR CHUACHUA. District commissioner

    February 13, 2026
  • Angalia Yote

Picha za Kuona

MWENGE WA UHURU 2023
Picha za Kuona Zaidi

Kurasa za Haraka

  • Ofisi ya Rais Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tume ya Ajira
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2025 HAYA HAPA

Kurasa Husishi

  • Wizara ya Elimu
  • Wizara ya Afya
  • TCU
  • Mikopo Vyuo Vya Elimu Ya Juu
  • Ofisi ya RAS Kigoma
  • Jiji Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Manispaa ya Kigoma Ujiji

    Sanduku la Posta: S.L.P 44

    Simu: +255 28 2802535

    Namba ya Simu: +255765660847

    Barua pepe: municipal@kigomaujijimc.go.tz ictsecurity@kigomaujijimc.go.tz

Mawasiliano Mbalimbali

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki@2017 Manispaa ya Kigoma Ujiji. Haki Zote Zimehifadhiwa