• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua za Watumishi |
    • Malalamiko |
Kigoma Ujiji Municipal Council
Kigoma Ujiji Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa Kigoma Ujiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Rasilimali Watu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango,Takwimu na Usimamizi
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
      • Afya
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Sekta ya Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha Ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati Za Kudumu Za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Ukimwi
      • Kamati Ya Maadili
      • Uchumi Afya na Elimu
    • Ratiba
      • Kamati Za Madiwani
      • Ratiba Kuonana Na Meya
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyo Kamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba
    • Picha za Kuona
      • Mh.Meya
    • Tukio
    • Habari

WASICHANA KIGOMA UJIJI WAHAMASISHWA KUPENDA MASOMO YA SAYANSI. Student

Posted on: February 16th, 2026



Na Mwandishi Wetu

Wanafunzi wa kike katika shule za sekondari zilizopo Manispaa ya Kigoma/Ujiji wamehamasishwa kupenda na kujiamini katika masomo ya sayansi ili kuweza kufikia ndoto zao.


Hamasa hiyo imefanyika Leo Februari 16, 2026 na Wataalamu wa Maendeleo ya Jamii, Jeshi la Polisi na Wataalamu wa elimu katika Shule ya Sekondari Kasingirima na Kasimbu.


Akizungumza kwa nyakati tofauti  katika uhamasishaji huo Afisa maendeleo ya jamii kutoka Ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigoma/Ujiji Bi. Aida Nzowa amesema Wanafunzi wa kike wana uwezo mkubwa wa kufanya vizuri katika ujifunzaji.


Amewataka kujiamini, kuthubutu, uwajibikaji na kuchukua hatua na kuuliza kama njia ya kujifunza.


Kwa upande wake Afisa Dawati la Jinsia na Watoto Jeshi la Polisi Sanjenti Faraja Mkuya amewataka Wanafunzi hao kujiepusha na vitendo vya ngono ili kufikia malengo waliyokusudia.


Mkuu wa Shule ya Sekondari Kasingirima Ndugu.  Venance Pastory Ndegea  amewasisitiza Wanafunzi hao kuyaishi na kuyafanyia kazi nasaha zilizotolewa na Wataalamu hao.


Zaidi bofya www.kigomaujijimc.go.tz

Matangazo

  • NYARAKA ZA WAKUU WA SHULE WALIMU WAKUU October 10, 2022
  • Ufatiliaji wa Kina Kusaka wasiokata Leseni za Biashara 2017 March 20, 2017
  • Fedha za Mradi wa P4R mwezi Machi 2017 April 13, 2017
  • Fedha za Mradi wa Barabara Machi 2017 April 13, 2017
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • WASICHANA KIGOMA UJIJI WAHAMASISHWA KUPENDA MASOMO YA SAYANSI. Student

    February 16, 2026
  • "TUKUBALI MABADILIKO YA KIDIGITALI KATIKA KUTOA HUDUMA" KISENA MABUBA. Municipal Director

    February 16, 2026
  • "SIMAMIENI UKUSANYAJI WA MAPATO" DR CHUACHUA. District commissioner

    February 13, 2026
  • DC KIGOMA ATETA NA WALIMU WA MEMKWA, AWATAKA KUTUMIA UBUNIFU KWENYE UFUNDISHAJI. Teachers

    February 13, 2026
  • Angalia Yote

Picha za Kuona

MWENGE WA UHURU 2023
Picha za Kuona Zaidi

Kurasa za Haraka

  • Ofisi ya Rais Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tume ya Ajira
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2025 HAYA HAPA

Kurasa Husishi

  • Wizara ya Elimu
  • Wizara ya Afya
  • TCU
  • Mikopo Vyuo Vya Elimu Ya Juu
  • Ofisi ya RAS Kigoma
  • Jiji Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Manispaa ya Kigoma Ujiji

    Sanduku la Posta: S.L.P 44

    Simu: +255 28 2802535

    Namba ya Simu: +255765660847

    Barua pepe: municipal@kigomaujijimc.go.tz ictsecurity@kigomaujijimc.go.tz

Mawasiliano Mbalimbali

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki@2017 Manispaa ya Kigoma Ujiji. Haki Zote Zimehifadhiwa