• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua za Watumishi |
    • Malalamiko |
Kigoma Ujiji Municipal Council
Kigoma Ujiji Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa Kigoma Ujiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Rasilimali Watu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango,Takwimu na Usimamizi
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
      • Afya
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Sekta ya Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha Ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati Za Kudumu Za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Ukimwi
      • Kamati Ya Maadili
      • Uchumi Afya na Elimu
    • Ratiba
      • Kamati Za Madiwani
      • Ratiba Kuonana Na Meya
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyo Kamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba
    • Picha za Kuona
      • Mh.Meya
    • Tukio
    • Habari

"SIMAMIENI UKUSANYAJI WA MAPATO" DR CHUACHUA. District commissioner

Posted on: February 13th, 2026

Na Mwandishi Wetu

Mkuu wa wilaya ya kigoma Dr. Rashid Chuachua amewataka  Wakuu taasisi za Serikali kusimamia ukusanyaji wa mapato ya ndani ili kuendelea kutekeleza miradi ya Maendeleo.


Ameyasema hayo Leo Februari 13, 2026 katika kikao cha kamati ya ushauri ya Wilaya (DCC) cha  kujadili rasimu ya mpango na bajeti kwa Mwaka wa fedha 2026/2027 katika ukumbi wa Kigoma Social Hall.


Akiwasilisha makisio ya bajeti ya Manispaa ya Kigoma/Ujiji kwa niaba ya Mkurugenzi, Mkuu wa Idara ya Mipango na Uratibu Ndugu. Julius Ndele amesema  kwa Mwaka wa fedha 2026/2027 Halmashauri  imepanga  kukusanya   kiasi cha zaidi ya billion arobaini na nne (Tsh 44,944,875,400/=).


Amesema kiasi hicho kinakisiwa kukusanywa Mapato ya ndani yakiwa zaidi ya  billion tano ( Tsh 5,985,756,400/=), Matumizi ya kawaida yakiwa zaidi ya billioni moja (1,618,040,000/=),  mishahara ikiwa ni zaidi ya bilioni ishirini na Saba ( 27,667,312,000/=) na fedha ya  miradi ya Maendeleo kutoka Serikali Kuu ikiwa ni zaidi ya billioni tisa ( Tsh 9,673,767,000/=) kwa ongeko la zaidi ya Millioni Mia mbili ( Tsh 223,960,400/=)   Sawa na Asilimia moja (1%) ukilinganisha na makisio ya bajeti kwa Mwaka 2025/2026.


Zaidi bofya www.kigomaujijimc.go.tz

Matangazo

  • NYARAKA ZA WAKUU WA SHULE WALIMU WAKUU October 10, 2022
  • Ufatiliaji wa Kina Kusaka wasiokata Leseni za Biashara 2017 March 20, 2017
  • Fedha za Mradi wa P4R mwezi Machi 2017 April 13, 2017
  • Fedha za Mradi wa Barabara Machi 2017 April 13, 2017
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • "SIMAMIENI UKUSANYAJI WA MAPATO" DR CHUACHUA. District commissioner

    February 13, 2026
  • DC KIGOMA ATETA NA WALIMU WA MEMKWA, AWATAKA KUTUMIA UBUNIFU KWENYE UFUNDISHAJI. Teachers

    February 13, 2026
  • MAFUNZO YA MALEZI KWA WALIMU WA MEMKWA KIGOMA UJIJI YANAENDELEA. Training

    February 12, 2026
  • "TUMEPOKEA WATUMISHI WAPYA ZAIDI YA MIA MOJA" KISENA MABUBA. Municipal Director

    February 11, 2026
  • Angalia Yote

Picha za Kuona

MWENGE WA UHURU 2023
Picha za Kuona Zaidi

Kurasa za Haraka

  • Ofisi ya Rais Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tume ya Ajira
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2025 HAYA HAPA

Kurasa Husishi

  • Wizara ya Elimu
  • Wizara ya Afya
  • TCU
  • Mikopo Vyuo Vya Elimu Ya Juu
  • Ofisi ya RAS Kigoma
  • Jiji Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Manispaa ya Kigoma Ujiji

    Sanduku la Posta: S.L.P 44

    Simu: +255 28 2802535

    Namba ya Simu: +255765660847

    Barua pepe: municipal@kigomaujijimc.go.tz ictsecurity@kigomaujijimc.go.tz

Mawasiliano Mbalimbali

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki@2017 Manispaa ya Kigoma Ujiji. Haki Zote Zimehifadhiwa