• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua za Watumishi |
    • Malalamiko |
Kigoma Ujiji Municipal Council
Kigoma Ujiji Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa Kigoma Ujiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Rasilimali Watu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango,Takwimu na Usimamizi
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
      • Afya
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Sekta ya Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha Ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati Za Kudumu Za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Ukimwi
      • Kamati Ya Maadili
      • Uchumi Afya na Elimu
    • Ratiba
      • Kamati Za Madiwani
      • Ratiba Kuonana Na Meya
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyo Kamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba
    • Picha za Kuona
      • Mh.Meya
    • Tukio
    • Habari

DC KIGOMA ATETA NA WAZEE MAARUFU WA MWANDIGA, AELEZA MAFANIKIO YA SERIKALI, Elders

Posted on: May 11th, 2023

Na Mwandishi Wetu

Mkuu wa Wilaya ya Kigoma Ndugu. Salum Hamis Kali Leo May 11, 2023  amefanya Mkutano na Wazee maarufu  pamoja na viongozi wa dini wa Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma

Mkutano huo umefanyika katika Ukumbi wa mikutano Shule ya Sekondari Mwandinga ambapo kiongozi huyo ameeleza utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa Serikali ya Awamu ya Sita  

Mkuu huyo wa Wilaya amesema Serikali imeendelea kuboresha Miundombinu katika kuboresha huduma za jamii na kukuza uchumi wa wakazi wa Wilaya hiyo

Amesema tayari Serikali imeleta fedha za Kitanzania  kiasi cha Billion 58/= kwa ajili ya uboreshaji wa uwanja wa ndege kwa ujenzi na upanuzi wa eneo la kurushia Ndege na ujenzi wa Jengo la abiria huku akisema ujenzi wa Cherezo unaendelea kwa ajili ya ujenzi wa  Meli nne (04)  mpya Ziwa Tanganyika kwa gharama ya fedha za Kitanzania  Billion 12/=

Amesema Ujenzi wa Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma unaendelea katika Kijiji cha Kabanga ambapo hadi sasa Halmashauri imepokea kiasi cha fedha za Kitanzania Billion 3/= kutoka Serikali kuu

Miradi mingine inayotarajiwa kujengwa ni pamoja na Ujenzi wa Shule mpya na madarasa kupitia mradi wa BOOST katika Wilaya ya Kigoma kwa fedha za Kitanzania Billion 2.7/=, ujenzi wa Chuo cha Uhasibu (TIA) kwa gharama ya Bilioni 6.1/= eneo la Kamala Simbo, na ujenzi wa Hospitali ya Kanda Mkoani Kigoma

Amehitimisha kwa kusisitiza Wananchi kujishughulisha na kilimo cha  Michikichi ya kisasa kutokana na Serikali kuendelea kutoa miche bure kwa Wakulima  

Aidha Mkutano huo umehudhuriwa na Viongozi wa vyama vya Siasa, Waheshimiwa Madiwani,  Wenyeviti wa Serikali za Mitaa pamoja na Watendaji wa Serikali  


Matangazo

  • NYARAKA ZA WAKUU WA SHULE WALIMU WAKUU October 10, 2022
  • Ufatiliaji wa Kina Kusaka wasiokata Leseni za Biashara 2017 March 20, 2017
  • Fedha za Mradi wa P4R mwezi Machi 2017 April 13, 2017
  • Fedha za Mradi wa Barabara Machi 2017 April 13, 2017
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • NYUMBA YA WALIMU SHULE YA SEKONDARI MJIMWEMA IPO HATUA YA UMALIZIAJI. Building

    May 08, 2025
  • MAANDALIZI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU YAENDELEA UJIJI, DC AKAGUA MIRADI. National touch

    May 07, 2025
  • SERIKALI YAENDELEA KUTOA MSAADA WA KIBINADAMU WAATHIRIKA WA MVUA KIGOMA UJIJI. Flood

    May 05, 2025
  • NMB YAKABIDHI VIFAA TIBA KIGOMA UJIJI. Health

    May 03, 2025
  • Angalia Yote

Picha za Kuona

MWENGE WA UHURU 2023
Picha za Kuona Zaidi

Kurasa za Haraka

  • Ofisi ya Rais Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tume ya Ajira

Kurasa Husishi

  • Wizara ya Elimu
  • Wizara ya Afya
  • TCU
  • Mikopo Vyuo Vya Elimu Ya Juu
  • Ofisi ya RAS Kigoma
  • Jiji Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Manispaa ya Kigoma Ujiji

    Sanduku la Posta: S.L.P 44

    Simu: +255 28 2802535

    Namba ya Simu: +255765660847

    Barua pepe: municipal@kigomaujijimc.go.tz ictsecurity@kigomaujijimc.go.tz

Mawasiliano Mbalimbali

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki@2017 Manispaa ya Kigoma Ujiji. Haki Zote Zimehifadhiwa