Na Mwandishi Wetu
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Mhe. Thobias Andengenye Jana June 14, 2025 alitoa wito kwa Wakuu wa idara na Vitengo kuendelea kufanya kazi kwa weredi kwa kuzingatia taratibu, kanuni na sheria ili kuepuka hoja za Wakaguzi wa Serikali.
Kiongozi huyo alitoa wito huo katika Mkutano maalumu wa Baraza la Madiwani la Manispaa ya Kigoma/Ujiji la kujadili hoja na maendeleo ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) uliofanyikia katika ukumbi wa Manispaa hiyo.
Aidha aliwataka kusimamia na kutumia mifumo ya Serikali kikamilifu ili kurahisisha ufuatiliaji wa matumizi ya pesa kuanzia hatua ya mapokezi hadi matumizi na kurahisisha upatikanaji wa majibu za hoja kwa Wakaguzi wa Serikali .
Zaidi bofya www.kigomaujijimc.go.tz
Manispaa ya Kigoma Ujiji
Sanduku la Posta: S.L.P 44
Simu: +255 28 2802535
Namba ya Simu: +255765660847
Barua pepe: municipal@kigomaujijimc.go.tz ictsecurity@kigomaujijimc.go.tz
Hakimiliki@2017 Manispaa ya Kigoma Ujiji. Haki Zote Zimehifadhiwa