• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua za Watumishi |
    • Malalamiko |
Kigoma Ujiji Municipal Council
Kigoma Ujiji Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa Kigoma Ujiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Rasilimali Watu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango,Takwimu na Usimamizi
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
      • Afya
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Sekta ya Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha Ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati Za Kudumu Za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Ukimwi
      • Kamati Ya Maadili
      • Uchumi Afya na Elimu
    • Ratiba
      • Kamati Za Madiwani
      • Ratiba Kuonana Na Meya
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyo Kamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba
    • Picha za Kuona
      • Mh.Meya
    • Tukio
    • Habari

KIHONGOSI APONGEZA UBORA WA JENGO SOKO LA MWANGA

Posted on: February 21st, 2026

Na Mwandishi Wetu

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bw.Kenani Kihongosi Leo Februari 21, 2026 amekagua maendeleo ya ujenzi wa Soko la Mwanga lililopo Manispaa ya Kigoma/ Ujiji. 


Akikagua ujenzi huo unaoendelea amewapongeza Wataalamu na mafundi kwa usimamizi wa ubora wa Jengo huku akiendelea kusistiza  usimamizi madhubuti na akimtaka Mkandarasi kukamilisha ujenzi huo kwa wakati kwa mjibu wa mkataba. 


Amesisitiza kuhakikisha Wafanyabiashara wa awali pindi soko litakapokuwa limekamilika kupewa kipaumbele na kufanya biashara ili kuinua uchumi wa mji huo.


Naye, Mhandisi wa Ujenzi kutoka Kampuni ya ujenzi ya Asabhi contractor Company Ltd in Jv with Pioneers Builders Limited Eng. Joseph Marando amehakikisha kuwa mradi huu wa ujenzi upo katika hatua za mwisho na kukamilika ifikapo Aprili Mwaka huu.

Matangazo

  • NYARAKA ZA WAKUU WA SHULE WALIMU WAKUU October 10, 2022
  • Ufatiliaji wa Kina Kusaka wasiokata Leseni za Biashara 2017 March 20, 2017
  • Fedha za Mradi wa P4R mwezi Machi 2017 April 13, 2017
  • Fedha za Mradi wa Barabara Machi 2017 April 13, 2017
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • KIHONGOSI APONGEZA UBORA WA JENGO SOKO LA MWANGA

    February 21, 2026
  • AHADI YA RAIS DR. SAMIA YAANZA KUTEKELEZWA, UJENZI WA SOKO LA KISASA KIBIRIZI WAANZA. Project

    February 19, 2026
  • MEYA UJIJI AONGOZA KAMATI YA FEDHA KUTEMBELEA MIRADI.

    February 18, 2026
  • MRADI WA SHULE BORA WAKUTANISHA WALIMU WA KIINGEREZA KIGOMA UJIJI. Elimu Project

    February 18, 2026
  • Angalia Yote

Picha za Kuona

MWENGE WA UHURU 2023
Picha za Kuona Zaidi

Kurasa za Haraka

  • Ofisi ya Rais Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tume ya Ajira
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2025 HAYA HAPA

Kurasa Husishi

  • Wizara ya Elimu
  • Wizara ya Afya
  • TCU
  • Mikopo Vyuo Vya Elimu Ya Juu
  • Ofisi ya RAS Kigoma
  • Jiji Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Manispaa ya Kigoma Ujiji

    Sanduku la Posta: S.L.P 44

    Simu: +255 28 2802535

    Namba ya Simu: +255765660847

    Barua pepe: municipal@kigomaujijimc.go.tz ictsecurity@kigomaujijimc.go.tz

Mawasiliano Mbalimbali

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki@2017 Manispaa ya Kigoma Ujiji. Haki Zote Zimehifadhiwa