Na Mwandishi Wetu
Ujenzi wa jengo la Utawala Manispaa ya Kigoma/Ujiji umeanza kutekelezwa kwa hatua ya Uchimbaji Msingi na usimikaji nguzo.
Jengo la Utawala linajengwa ghorofa tatu na Kampuni ya ujenzi ya Gopa Contractors Tanzania Limited.
Mradi huu unatekelezwa kwa fedha kutoka Serikali Kuu ambapo hadi sasa Halmashauri imeshapokea kiasi cha fedha za Kitanzania Billion moja (Tsh Billion 1/=).
Zaidi bofya www.kigomaujijimc.go.tz
Manispaa ya Kigoma Ujiji
Sanduku la Posta: S.L.P 44
Simu: +255 28 2802535
Namba ya Simu: +255765660847
Barua pepe: municipal@kigomaujijimc.go.tz ictsecurity@kigomaujijimc.go.tz
Hakimiliki@2017 Manispaa ya Kigoma Ujiji. Haki Zote Zimehifadhiwa