Na Mwandishi Wetu
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Balozi Saimoni Nyakoro Sirro amefanya ziara ya kutembelea Soko la Nazareth lililopo Manispaa ya Kigoma/Ujiji huku akikagua miundombinu ya Soko hilo.
Ziara hiyo ameifanya Leo Januari 07, 2026 ambapo amekagua ujenzi wa Choo cha soko hilo pamoja na kuzungumza na Wafanyabishara wa soko hilo.
Zaidi bofya www.kigomaujijimc.go.tz
Manispaa ya Kigoma Ujiji
Sanduku la Posta: S.L.P 44
Simu: +255 28 2802535
Namba ya Simu: +255765660847
Barua pepe: municipal@kigomaujijimc.go.tz ictsecurity@kigomaujijimc.go.tz
Hakimiliki@2017 Manispaa ya Kigoma Ujiji. Haki Zote Zimehifadhiwa