Na Mwandishi Wetu
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora Mhe. Clement Sangu (Mb) Leo Novemba 15, 2024 amefanya kikao na Watumishi wa Wilaya ya Kigoma.
Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa NSSF-Kigoma ambapo amesikiliza na kutatua kero za Watumishi.
Katika kikao hicho amewataka Watumishi kufanya kazi kwa weredi na kutumia mifumo ya kielekroniki katika utendaji kazi na kuwahudumia Wananchi.
Kikao hicho kimehudhuriwa na Mbunge wa Kigoma Mjini Mhe. Kilumbe Ng'enda.
Zaidi bofya www.kigomaujijimc.go.tz
Manispaa ya Kigoma Ujiji
Sanduku la Posta: S.L.P 44
Simu: +255 28 2802535
Namba ya Simu: +255765660847
Barua pepe: municipal@kigomaujijimc.go.tz ictsecurity@kigomaujijimc.go.tz
Hakimiliki@2017 Manispaa ya Kigoma Ujiji. Haki Zote Zimehifadhiwa