Na Mwandishi Wetu
Kamishina wa Tume ya Haki za binadamu na Utawala Bora Mhe. Amina Talib Ali Leo Februari 10, 2025 amezindua klabu ya haki za binadamu Shule ya Sekondari Kigoma.
Uzinduzi huo umefanyika wakati Wataalamu wa Tume hiyo walipofika Shuleni hapo kwa lengo la kutoa elimu ya kusimamia na kulinda
haki za binadamu na uelewa wa Misingi ya Utawala Bora.
Aidha Viongozi hao wametoa elimu kwa Wanafunzi hao namna kupinga na kutoa taarifa ya vitendo vya ukatili ambavyo vimekuwa vikitokea katika jamii mbalimbali.
Zaidi bofya www.kigomaujijimc.go.tz @chraggtanzania
Manispaa ya Kigoma Ujiji
Sanduku la Posta: S.L.P 44
Simu: +255 28 2802535
Namba ya Simu: +255765660847
Barua pepe: municipal@kigomaujijimc.go.tz ictsecurity@kigomaujijimc.go.tz
Hakimiliki@2017 Manispaa ya Kigoma Ujiji. Haki Zote Zimehifadhiwa