• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua za Watumishi |
    • Malalamiko |
Kigoma Ujiji Municipal Council
Kigoma Ujiji Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa Kigoma Ujiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Rasilimali Watu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango,Takwimu na Usimamizi
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
      • Afya
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Sekta ya Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha Ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati Za Kudumu Za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Ukimwi
      • Kamati Ya Maadili
      • Uchumi Afya na Elimu
    • Ratiba
      • Kamati Za Madiwani
      • Ratiba Kuonana Na Meya
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyo Kamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba
    • Picha za Kuona
      • Mh.Meya
    • Tukio
    • Habari

"LINDENI JAMII YETU" DC KIGOMA Non Government Organization

Posted on: July 3rd, 2024

Na Mwandishi Wetu 

Mkuu wa Wilaya ya Kigoma Ndugu. Salum Hamis  Kali amewataka Viongozi wa Mashirika yasiyo ya Kiserikali kufanya kazi Wilayani hapo kwa kuzingatia misingi, uzalendo na maadili ya Kitanzania.

Ameyasema hayo leo July 03, 2024 Katika Kikao kazi cha Siku Moja kilichofanyikia ukumbi wa Redcross Manispaa ya Kigoma/Ujiji chenye lengo la Mashirika kuwasilisha Mipango kazi kwa Mwaka mpya wa fedha 2024/2025.


Amesema mashirika yasiyo ya Kiserikali ni wadau mhimu wa Maendeleo katika kufanya kazi ni lazima wahakikishe wanalinda jamii ya Kitanzania  kwa kupinga vitendo na viashiria visivyoakisi maadili ya kitanzania.  


Aidha kiongozi huyo ameyataka mashirika hayo kupinga vitendo vya ukatili kwa Wanawake na Watoto, kuijengea uwezo jamii juu ya utoaji taarifa katika mamlaka zinazohusika na kuwajengea Wananchi uwezo kiuchumi, elimu na katika masuala ya kiafya.  


Naye Mratibu wa Mashirika Manispaa ya Kigoma Ujiji Bi. Austina Hwago Amesema Wilaya ya Kigoma ina mashirika yasiyo ya Kiserikali yaliyosajiliwa tisini na  nane (98) ambayo yamekuwa yakitekeleza miradi ya  Maendeleo   katika Sekta ya afya, Uchumi, Kilimo, na uvuvi licha ya baadhi ya Mashirika kutotoa taarifa za utekelezaji wao kwa wakati na kutofuata sera za uwazi na Uwajibikaji.


Naye Mwakilishi wa Mashirika yasiyo ya Kiserikali Mkoa wa Kigoma na Mjumbe wa Baraza la Mashirika yasiyo ya Kiserikali Taifa (NACONGO) Ndugu. Alex Luoga amewataka Viongozi wa mashirika hayo kuzingatia kanuni na miongozo kwa kutoa taarifa kwa wakati na kuzingatia misingi na maadili ya Taifa.


Matangazo

  • NYARAKA ZA WAKUU WA SHULE WALIMU WAKUU October 10, 2022
  • Ufatiliaji wa Kina Kusaka wasiokata Leseni za Biashara 2017 March 20, 2017
  • Fedha za Mradi wa P4R mwezi Machi 2017 April 13, 2017
  • Fedha za Mradi wa Barabara Machi 2017 April 13, 2017
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • NYUMBA YA WALIMU SHULE YA SEKONDARI MJIMWEMA IPO HATUA YA UMALIZIAJI. Building

    May 08, 2025
  • MAANDALIZI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU YAENDELEA UJIJI, DC AKAGUA MIRADI. National touch

    May 07, 2025
  • SERIKALI YAENDELEA KUTOA MSAADA WA KIBINADAMU WAATHIRIKA WA MVUA KIGOMA UJIJI. Flood

    May 05, 2025
  • NMB YAKABIDHI VIFAA TIBA KIGOMA UJIJI. Health

    May 03, 2025
  • Angalia Yote

Picha za Kuona

MWENGE WA UHURU 2023
Picha za Kuona Zaidi

Kurasa za Haraka

  • Ofisi ya Rais Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tume ya Ajira

Kurasa Husishi

  • Wizara ya Elimu
  • Wizara ya Afya
  • TCU
  • Mikopo Vyuo Vya Elimu Ya Juu
  • Ofisi ya RAS Kigoma
  • Jiji Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Manispaa ya Kigoma Ujiji

    Sanduku la Posta: S.L.P 44

    Simu: +255 28 2802535

    Namba ya Simu: +255765660847

    Barua pepe: municipal@kigomaujijimc.go.tz ictsecurity@kigomaujijimc.go.tz

Mawasiliano Mbalimbali

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki@2017 Manispaa ya Kigoma Ujiji. Haki Zote Zimehifadhiwa