Na Mwandishi Wetu
Madaktari Bingwa wa Mama Samia wanaendelea Kutoa huduma za Matibabu ya Kibingwa katika kituo cha Afya cha Ujiji.
Madaktari bingwa hao wanatoa huduma mbalimbali ikiwemo matibabu ya magonjwa ya Wanawake na ukunga, huduma za afya kwa watoto na watoto wachanga, magonjwa ya ndani, huduma za upasuaji wa mfumo wa mkojo, huduma za ganzi na usingizi pamoja na matibabu ya kinywa na meno.
Matibabu ya Kibigwa yanatolewa Kila Siku Saa mbili kamili asubuhi hadi Saa kumi jioni na yanatarajia kuhitimishwa Siku ya Jumamosi June 21, 2025.
Zaidi bofya www.kigomaujijimc.go.tz
Manispaa ya Kigoma Ujiji
Sanduku la Posta: S.L.P 44
Simu: +255 28 2802535
Namba ya Simu: +255765660847
Barua pepe: municipal@kigomaujijimc.go.tz ictsecurity@kigomaujijimc.go.tz
Hakimiliki@2017 Manispaa ya Kigoma Ujiji. Haki Zote Zimehifadhiwa