Na Mwandishi Wetu
Huduma za matibabu bingwa zinaendelea kutolewa katika Kituo cha afya cha Gungu Manispaa ya Kigoma/Ujiji kutoka kwa Madaktari Bingwa wa Dkt. Samia ikiwa ni siku ya pili (02) tangu kuanza.
Matibabu hayo yanaendelea yakiwa na lengo la kuhakikisha huduma bobezi za kibingwa zinawafikia wananchi kwa ukaribu kwa kupunguza gharama za Matibabu.
Madaktari wanaoendelea kutoa huduma ni pamoja na Madaktari Bingwa wa Wanawake, Madaktari Bingwa wa Watoto, Madaktari Bingwa wa Magonjwa ya ndani, Madaktari Bingwa wa Meno na Madaktari Bingwa wa upasuaji.
Zaidi bofya www.kigomaujijimc.go.tz
Manispaa ya Kigoma Ujiji
Sanduku la Posta: S.L.P 44
Simu: +255 28 2802535
Namba ya Simu: +255765660847
Barua pepe: municipal@kigomaujijimc.go.tz ictsecurity@kigomaujijimc.go.tz
Hakimiliki@2017 Manispaa ya Kigoma Ujiji. Haki Zote Zimehifadhiwa