• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua za Watumishi |
    • Malalamiko |
Kigoma Ujiji Municipal Council
Kigoma Ujiji Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa Kigoma Ujiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Rasilimali Watu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango,Takwimu na Usimamizi
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
      • Afya
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Sekta ya Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha Ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati Za Kudumu Za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Ukimwi
      • Kamati Ya Maadili
      • Uchumi Afya na Elimu
    • Ratiba
      • Kamati Za Madiwani
      • Ratiba Kuonana Na Meya
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyo Kamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba
    • Picha za Kuona
      • Mh.Meya
    • Tukio
    • Habari

MITI 200 YAPANDWA HOSPITALI YA RUFAA MAWENI, Planting tree

Posted on: February 9th, 2023

Na Mwandishi Wetu

Mwenyekiti wa Kamati ya Mipango miji, Ujenzi na Mazingira na Diwani wa Kata ya Kitongoni iliyopo Manispaa ya Kigoma/Ujiji Mhe. Himidi Omary Himidi amepongeza uongozi wa  Hospitali ya  Rufaa ya Mkoa Maweni - Kigoma kwa kusimamia na utunzaji wa Mazingira

Pongezi hizò amezitoa Leo February 08, 2023 alipokuwa Mgeni rasmi akiwamwakilisha Meya wa Manispaa hiyo katika zoezi la upandaji wa Miti eneo la Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kigoma ikiwa ni mwendelezo wa kufanya Manispaa ya Kigoma/Ujiji kuwa ya Kijani


Akihutubia wafanyakazi wa Hospitali hiyo Mgeni rasmi huyo amesema Manispaa ya Kigoma/Ujiji inaendelea kutekeleza Maagizo yaliyotolewa na Ofisi ya Makamu wa Rais ya Kila Halmashauri kuhakikisha inaitikia zoezi la upandaji wa Miti


Amesema kwa kipindi cha robo ya Kwanza  (Julai -Septemba 2022/2023) Manispaa ya Kigoma/Ujiji kwa kushirikiana na Wadau na Wananchi imefanikiwa kupanda miche 34, 800 ikiwa ni miti ya Kivuli na Matunda    


Awali akimkaribisha Mgeni Rasmi  Kaimu Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kigoma (Maweni) Dr. Ashraf Idd Bitaliho amesema wamezindua zoezi hilo la upandaji wa miti katika eneo la Hospitali ikiwa ni kuendeleza utunzaji wa Mazingira


Kaimu Mganga mfawidhi huyo  amesema katika zoezi hilo Watumishi na wafanyakazi wa Hospitali hiyo watashiriki upandaji wa miti Mia mbili (200) na inatatunzwa na Watumishi kutoka katika idara na Vitengo vya hospitali hiyo


Manispaa ya Kigoma/Ujii imekuwa ikihamasisha Wananchi katika utunzaji wa Mazingira ikiwa ni pamoja na upandaji miti ambapo Manispaa hiyo imekuwa ikizalisha Miche ya Kisasa ya Michikichi na kuigawa bure kwa Wakulima na  Wananchi kwa lengo la   kupanda shambani, kando ya barabara na maeneo yao ya kuishi

Matangazo

  • NYARAKA ZA WAKUU WA SHULE WALIMU WAKUU October 10, 2022
  • Ufatiliaji wa Kina Kusaka wasiokata Leseni za Biashara 2017 March 20, 2017
  • Fedha za Mradi wa P4R mwezi Machi 2017 April 13, 2017
  • Fedha za Mradi wa Barabara Machi 2017 April 13, 2017
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • NYUMBA YA WALIMU SHULE YA SEKONDARI MJIMWEMA IPO HATUA YA UMALIZIAJI. Building

    May 08, 2025
  • MAANDALIZI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU YAENDELEA UJIJI, DC AKAGUA MIRADI. National touch

    May 07, 2025
  • SERIKALI YAENDELEA KUTOA MSAADA WA KIBINADAMU WAATHIRIKA WA MVUA KIGOMA UJIJI. Flood

    May 05, 2025
  • NMB YAKABIDHI VIFAA TIBA KIGOMA UJIJI. Health

    May 03, 2025
  • Angalia Yote

Picha za Kuona

MWENGE WA UHURU 2023
Picha za Kuona Zaidi

Kurasa za Haraka

  • Ofisi ya Rais Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tume ya Ajira

Kurasa Husishi

  • Wizara ya Elimu
  • Wizara ya Afya
  • TCU
  • Mikopo Vyuo Vya Elimu Ya Juu
  • Ofisi ya RAS Kigoma
  • Jiji Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Manispaa ya Kigoma Ujiji

    Sanduku la Posta: S.L.P 44

    Simu: +255 28 2802535

    Namba ya Simu: +255765660847

    Barua pepe: municipal@kigomaujijimc.go.tz ictsecurity@kigomaujijimc.go.tz

Mawasiliano Mbalimbali

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki@2017 Manispaa ya Kigoma Ujiji. Haki Zote Zimehifadhiwa