Na Mwandishi Wetu
Ujenzi wa nyumba ya Walimu (2 in 1) Shule ya Sekondari Mjimwema Kata ya Kigoma inaendelea ikiwa katika hatua ya umaliziaji.
Nyumba hiyo inajengwa chanzo cha fedha ikiwa ni kutoka Serikali Kuu kwa gharama ya fedha za Kitanzania Million Mia moja na kumi (Tsh 110,000,000/=).
Katika kuboresha Mazingira ya ufundishaji na ujifunzaji kwa Walimu na Wanafunzi, Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dr. Samia Suluhu Hassan imeendelea kujenga miundombinu ya elimu ili kukuza ufanisi na viwango vya ufaulu Manispaa ya Kigoma/Ujiji.
Pichani ni Mkuu wa Wilaya ya Kigoma Dr. Rashid Chuachua Jana May 07, 2025 alipokuwa akikagua nyumba hiyo alipofanya ziara ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo.
Zaidi bofya www.kigomaujijimc.go.tz
Manispaa ya Kigoma Ujiji
Sanduku la Posta: S.L.P 44
Simu: +255 28 2802535
Namba ya Simu: +255765660847
Barua pepe: municipal@kigomaujijimc.go.tz ictsecurity@kigomaujijimc.go.tz
Hakimiliki@2017 Manispaa ya Kigoma Ujiji. Haki Zote Zimehifadhiwa