Na Mwandishi Wetu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dr. Samia Suluhu Hassani ametoa zawadi katika kituo cha kulea Watoto Sanganingwa kilichopo Manispaa ya Kigoma/Ujiji.
Zawadi hizo zimetolewa Leo Desemba 31, 2024 kwa lengo kusherehekea Sikukuu ya Mwaka mpya 2025.
Zawadi hizo amezikabidhi Mkuu wa Wilaya ya Buhigwe Kanali Michaeli Ngayalina kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Kigoma.
Zawadi zilizokabidhiwa ni pamoja
Mchele, Sukari, Unga wa Ugali, Unga wa ngano, Mafuta ya kupikia, Mbuzi (01), Viungo, Vinywaji, Pampasi, na Maziwa ya kopo.
Zaidi bofya www.kigomaujijimc.go.tz
Manispaa ya Kigoma Ujiji
Sanduku la Posta: S.L.P 44
Simu: +255 28 2802535
Namba ya Simu: +255765660847
Barua pepe: municipal@kigomaujijimc.go.tz ictsecurity@kigomaujijimc.go.tz
Hakimiliki@2017 Manispaa ya Kigoma Ujiji. Haki Zote Zimehifadhiwa