Na Mwandishi Wetu
Katibu Tawala Mkoa wa Kigoma Hassan Rugwa leo Agosti 7, 2025 ametembelea banda la Manispaa ya Kigoma/Ujiji katika Maonesho ya Wakulima na Wafugaji (Nane Nane) yanaendelea Kanda ya Magharibi katika viwanja vya Fatuma Mwasa.
Kauli mbiu ya Nane Nane Mwaka huu ni "Chagua Viongozi Bora kwa maendeleo ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi".
Zaidi bofya www.kigomaujijimc.go.tz
Manispaa ya Kigoma Ujiji
Sanduku la Posta: S.L.P 44
Simu: +255 28 2802535
Namba ya Simu: +255765660847
Barua pepe: municipal@kigomaujijimc.go.tz ictsecurity@kigomaujijimc.go.tz
Hakimiliki@2017 Manispaa ya Kigoma Ujiji. Haki Zote Zimehifadhiwa