Na Mwandishi Wetu
Wataalamu wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road (ORCI) Wanatarajia Kutoa elimu na kufanya uchunguzi, vipimo na Matibabu kwa Saratani ya Mlango wa Kizazi , Matiti kwa Wanawake na Tezi dume kwa Wanaume kuanzia Siku ya Kesho Jumamosi June 14-16, 2025 katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Kigoma-Maweni.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Dr. Diwani Msemo akiongea na vyombo vya habari amesema taasisi hiyo inatarajia kufanya Huduma hiyo kupitia program ya "Samia Suluhu Outreach Service" ambapo itatolewa bure kwa Wananchi watakofika Kila Siku Saa mbili kamili asubuhi hadi Saa kumi jioni.
Zaidi bofya www.kigomaujijimc.go.tz
Manispaa ya Kigoma Ujiji
Sanduku la Posta: S.L.P 44
Simu: +255 28 2802535
Namba ya Simu: +255765660847
Barua pepe: municipal@kigomaujijimc.go.tz ictsecurity@kigomaujijimc.go.tz
Hakimiliki@2017 Manispaa ya Kigoma Ujiji. Haki Zote Zimehifadhiwa