Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigoma/Ujiji Bi. Mwantum Mgonja amewataka Watumishi wa Manispaa hiyo kusikiliza, kutatua kero na kuwahudumia Wananchi kikamilifu na kwa wakati.
Ameyasema hayo Leo April 29, 2024 katika kikao alichofanya na Watumishi wa Ofisi Kuu ya Manispaa kwa lengo la kukumbusha Uwajibikaji wa Watumishi.
Aidha amewataka kusikiliza na kutatua malalamiko ya Wananchi ikiwa ni pamoja na kusimamia miradi ya Maendeleo, kubuni vyanzo vipya vya mapato, pamoja na kufanya kazi kwa pamoja (Team work).
zaidi bofya www.kigomaujijimc.go.tz
Manispaa ya Kigoma Ujiji
Sanduku la Posta: S.L.P 44
Simu: +255 28 2802535
Namba ya Simu: +255765660847
Barua pepe: municipal@kigomaujijimc.go.tz ictsecurity@kigomaujijimc.go.tz
Hakimiliki@2017 Manispaa ya Kigoma Ujiji. Haki Zote Zimehifadhiwa