• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua za Watumishi |
    • Malalamiko |
Kigoma Ujiji Municipal Council
Kigoma Ujiji Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa Kigoma Ujiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Rasilimali Watu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango,Takwimu na Usimamizi
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
      • Afya
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Sekta ya Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha Ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati Za Kudumu Za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Ukimwi
      • Kamati Ya Maadili
      • Uchumi Afya na Elimu
    • Ratiba
      • Kamati Za Madiwani
      • Ratiba Kuonana Na Meya
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyo Kamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba
    • Picha za Kuona
      • Mh.Meya
    • Tukio
    • Habari

WANANCHI WA KANDAGA, KAZURAMIMBA NA UVINZA WAPATA MAFUNZO NA MAZOEZI YA KUKABILIANA NA MAJANGA. Disasiter

Posted on: October 18th, 2023

Na Mwandishi Wetu

Wananchi wa Wilaya ya Uvinza Leo Oktoba 18, 2023 wamepatiwa mafunzo namna ya kujikinga na kukabiliana na Majanga mbalimbali.

Elimu hiyo imetolewa na Wataalamu kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu idara ya Menejimenti ya Maafa katika Ukumbi wa Hospitali ya Wilaya ya Uvinza kwa Wajumbe wa Kamati za Kata za Uvinza, Kandaga na Kazuramimba.


Awali akifungua Mafunzo hayo Kaimu Mkurugenzi wa idara ya Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Naibu Kamishina Hamisi Mrutengo amewataka Wajumbe wa  Kamati za Maafa ngazi za Kata kuzingatia elimu watakayoipata kwa lengo la kupunguza athari zitokanazo na majanga katika jamii zao.


Amesema jamii ni lazima iendelee kupewa mafunzo na mazoezi ya namna ya kukabiliana na     Majanga ya Asili na yanayosababishwa na Shughuli za Kibinadamu ili kupunguza madhara ya utegemezi, Umasikini na matumizi ya fedha nje ya Mipango.  


Naye Mratibu wa Maafa kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dr. Mololo Noah  amewasilisha mada ya namna   Jamii inavyokabiliana na Maafa kupitia ngazi tofauti tofauti kuanzia ngazi ya Kijiji hadi Taifa kulingana na ukubwa wa janga.


Aidha amewataka Wananchi kufanya mikutano na vikao vya mara kwa mara kuainisha majanga katika maeneo yao,  kufanya tathimini kabla ya Kutokea,  likitokea na baada ya tukio.


Mratibu wa Maafa Mkoa wa Kigoma Ndugu. Msafiri Nzunuri amewataka wajumbe hao kuendelea kutoa elimu kwa Wananchi pindi linapotokea janga kushirikiana katika hatua zote na kutoa taarifa katika mamlaka zinazohusika ķwa lengo la kurejesha hali kama vile ukarabati au ujenzi wa Miundombinu mbalimbali.     

Matangazo

  • NYARAKA ZA WAKUU WA SHULE WALIMU WAKUU October 10, 2022
  • Ufatiliaji wa Kina Kusaka wasiokata Leseni za Biashara 2017 March 20, 2017
  • Fedha za Mradi wa P4R mwezi Machi 2017 April 13, 2017
  • Fedha za Mradi wa Barabara Machi 2017 April 13, 2017
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • NYUMBA YA WALIMU SHULE YA SEKONDARI MJIMWEMA IPO HATUA YA UMALIZIAJI. Building

    May 08, 2025
  • MAANDALIZI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU YAENDELEA UJIJI, DC AKAGUA MIRADI. National touch

    May 07, 2025
  • SERIKALI YAENDELEA KUTOA MSAADA WA KIBINADAMU WAATHIRIKA WA MVUA KIGOMA UJIJI. Flood

    May 05, 2025
  • NMB YAKABIDHI VIFAA TIBA KIGOMA UJIJI. Health

    May 03, 2025
  • Angalia Yote

Picha za Kuona

MWENGE WA UHURU 2023
Picha za Kuona Zaidi

Kurasa za Haraka

  • Ofisi ya Rais Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tume ya Ajira

Kurasa Husishi

  • Wizara ya Elimu
  • Wizara ya Afya
  • TCU
  • Mikopo Vyuo Vya Elimu Ya Juu
  • Ofisi ya RAS Kigoma
  • Jiji Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Manispaa ya Kigoma Ujiji

    Sanduku la Posta: S.L.P 44

    Simu: +255 28 2802535

    Namba ya Simu: +255765660847

    Barua pepe: municipal@kigomaujijimc.go.tz ictsecurity@kigomaujijimc.go.tz

Mawasiliano Mbalimbali

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki@2017 Manispaa ya Kigoma Ujiji. Haki Zote Zimehifadhiwa