• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua za Watumishi |
    • Malalamiko |
Kigoma Ujiji Municipal Council
Kigoma Ujiji Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa Kigoma Ujiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Rasilimali Watu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango,Takwimu na Usimamizi
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
      • Afya
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Sekta ya Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha Ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati Za Kudumu Za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Ukimwi
      • Kamati Ya Maadili
      • Uchumi Afya na Elimu
    • Ratiba
      • Kamati Za Madiwani
      • Ratiba Kuonana Na Meya
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyo Kamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba
    • Picha za Kuona
      • Mh.Meya
    • Tukio
    • Habari

WATUMISHI WA MANISPAA YA KIGOMA/UJIJI WAMPONGEZA MKURUGENZI MSTAAFU MWAILWA PANGANI, Municipal Director

Posted on: June 3rd, 2021

Na Mwandishi wetu

Watumishi walioko Makao Makuu ya Ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigoma/Ujiji jana June 1,wakiwa katika  ukumbi wa Manispaa hiyo walitoa salamu za pongezi kwa Mkurugenzi aliyestaafu Ndugu. Mwailwa Pangani

Watumishi hao walitoa salamu za pongezi walipofanya kikao na Wakuu wa idara na Vitengo pamoja na  Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa hiyo Ndugu. Frednand Filimbi katika kikao cha kujadili utendaji kazi wa watumishi katika kufikia malengo

Akizungumza katika kikao hicho Mwangalizi  wa Ofisi (OS) Ndugu. Shabani Mashaka alisema Mkurugenzi aliyestaafu atakumbukwa kwa  mambo aliyoyafanya katika utumishi katika kipindi chote alichoitumikia Manispaa ya Kigoma/Ujiji

Aliendelea kusema Mkurugenzi huyo atakumbukwa kwa kupandisha mapato, uondoaji wa hati chafu , usimamizi wa miradi na kujenga mahusiano na taasisi zingine za Serikali na binafsi

Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa hiyo katika kikao hicho aliwataka watumishi wote kuendelea kushikamana katika utendaji kazi na kuhakikisha kila mtumishi anatimiza wajibu na majukumu yake ya kuwatumikia Wananchi kwa wakati

Mkurugenzi mstaafu Ndugu. Mwailwa Pangani aliteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigoma/Ujiji mwezi August 2018, akitokea Halmshauri ya Nsimbo Mkoani Katavi alipokuwa akitumikia ngazi hiyo ya Ukurugenzi na sasa mwezi May, 2021  amestaafu utumishi wa Umma

Matangazo

  • NYARAKA ZA WAKUU WA SHULE WALIMU WAKUU October 10, 2022
  • Ufatiliaji wa Kina Kusaka wasiokata Leseni za Biashara 2017 March 20, 2017
  • Fedha za Mradi wa P4R mwezi Machi 2017 April 13, 2017
  • Fedha za Mradi wa Barabara Machi 2017 April 13, 2017
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • NYUMBA YA WALIMU SHULE YA SEKONDARI MJIMWEMA IPO HATUA YA UMALIZIAJI. Building

    May 08, 2025
  • MAANDALIZI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU YAENDELEA UJIJI, DC AKAGUA MIRADI. National touch

    May 07, 2025
  • SERIKALI YAENDELEA KUTOA MSAADA WA KIBINADAMU WAATHIRIKA WA MVUA KIGOMA UJIJI. Flood

    May 05, 2025
  • NMB YAKABIDHI VIFAA TIBA KIGOMA UJIJI. Health

    May 03, 2025
  • Angalia Yote

Picha za Kuona

MWENGE WA UHURU 2023
Picha za Kuona Zaidi

Kurasa za Haraka

  • Ofisi ya Rais Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tume ya Ajira

Kurasa Husishi

  • Wizara ya Elimu
  • Wizara ya Afya
  • TCU
  • Mikopo Vyuo Vya Elimu Ya Juu
  • Ofisi ya RAS Kigoma
  • Jiji Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Manispaa ya Kigoma Ujiji

    Sanduku la Posta: S.L.P 44

    Simu: +255 28 2802535

    Namba ya Simu: +255765660847

    Barua pepe: municipal@kigomaujijimc.go.tz ictsecurity@kigomaujijimc.go.tz

Mawasiliano Mbalimbali

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki@2017 Manispaa ya Kigoma Ujiji. Haki Zote Zimehifadhiwa