Na Mwandishi Wetu
Wenyeviti na Wajumbe wa Serikali za Mitaa Manispaa ya Kigoma/Ujiji wameapa kiapo cha Utii na Uadilifu mara baada ya kushinda kwenye nafasi mbalimbali za Uongozi kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika Siku ya Jumatano Novemba 27, 2024.
Jumla ya Viongozi walioapa ni Wenyeviti wa Serikali za Mitaa sitini na nane (68) na Wajumbe wa Serikali za Mitaa Mia tatu na arobaini (340).
Zaidi bofya www.kigomaujijimc.go.tz
Manispaa ya Kigoma Ujiji
Sanduku la Posta: S.L.P 44
Simu: +255 28 2802535
Namba ya Simu: +255765660847
Barua pepe: municipal@kigomaujijimc.go.tz ictsecurity@kigomaujijimc.go.tz
Hakimiliki@2017 Manispaa ya Kigoma Ujiji. Haki Zote Zimehifadhiwa