Na Mwandishi Wetu
Mkuu wa Wilaya ya Kigoma Dr. Rashid Chuachua amewataka Wenyeviti wa Serikali za Mitaa kusimamia usafi wa mazingira Manispaa ya Kigoma/Ujiji.
Ameyasema hayo Leo Januari 14, 2024 alipokuwa akifungua mafunzo ya Siku mbili (02) kwa Wenyeviti na Wajumbe wa Serikali za Mitaa yanayotolewa na Wakufunzi kutoka Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo.
Kiongozi huyo amesema Ofisi yake inaandaa tuzo za usafi kwa Wenyeviti wa Serikali za Mitaa katika Mitaa ambayo Wananchi wake watakuwa wakifanya vizuri.
Zaidi bofya www.kigomaujijimc.go.tz
Manispaa ya Kigoma Ujiji
Sanduku la Posta: S.L.P 44
Simu: +255 28 2802535
Namba ya Simu: +255765660847
Barua pepe: municipal@kigomaujijimc.go.tz ictsecurity@kigomaujijimc.go.tz
Hakimiliki@2017 Manispaa ya Kigoma Ujiji. Haki Zote Zimehifadhiwa