Na Mwandishi Wetu
Mafunzo ya siku tatu(03) kwa Walimu wa madarasa ya awali (darasa la Kwanza na la pili) kwa Shule za Msingi za Manispaa ya Kigoma/Ujiji yameendelea kwa lengo la kuboresha ufundishaji na kukuza stadi za Kusoma, kuandika na kuhesabu (KKK) kwa Wanafunzi.
Mafunzo hayo yanaendelea ikiwa ni Siku ya pili tangu kuanza yakifanyikia Shule ya Msingi Kabingo yakifadhiliwa na Mradi wa Shule bora.
Akifungua mafunzo hayo Kaimu Mkuu wa Idara ya elimu Ndugu. Cornel Kisinga amewataka Walimu hao kuzingatia mafunzo ili kuboresha ufundishaji na kukuza ufaulu.
Zaidi bofya www.kigomaujijimc.go.tz
Manispaa ya Kigoma Ujiji
Sanduku la Posta: S.L.P 44
Simu: +255 28 2802535
Namba ya Simu: +255765660847
Barua pepe: municipal@kigomaujijimc.go.tz ictsecurity@kigomaujijimc.go.tz
Hakimiliki@2017 Manispaa ya Kigoma Ujiji. Haki Zote Zimehifadhiwa