Posted on: January 9th, 2026
Na Mwandishi Wetu
Mkurugenzi mkuu wa manispaa ya Kigoma/Ujiji Ndugu.Kisena Mabuba amewataka Viongozi wa elimu kuongeza ufaulu wa Wanafunzi katika Mitihani ya ndani na ya Kitaifa.
...
Posted on: January 9th, 2026
Na Mwandishi Wetu
Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigoma/Ujiji Ndugu. Kisena Mabuba amewataka Watumishi wa Manispaa hiyo kuongeza juhudi na Ufanisi katika kutoa huduma kwa Wananchi.
Ameyasema...
Posted on: January 7th, 2026
Na Mwandishi Wetu
Waratibu elimu Kata, Wakuu wa Shule za Msingi na Sekondari, na Walimu wa TEHAMA Manispaa ya Kigoma/Ujiji Leo Januari 07, 2026 wameanza mafunzo ya siku (04) ya mfumo wa kidig...