Posted on: February 19th, 2025
Na Mwandishi Wetu
Wataalamu na Wadau wa elimu Manispaa ya Kigoma/Ujiji wamepata mafunzo ya kufanya tathimini ya mdondoko wa Wanafunzi kwa Shule jumuishi.
Mafunzo hayo yamefanyika ...
Posted on: February 14th, 2025
Na Mwandishi Wetu
Mkuu wa Wilaya ya Kigoma Dr. Rashid Chuachua amezindua zoezi ugawaji wa vitambulisho vya wafanyabiashara ndogondogo Manispaa ya Kigoma.
Uzinduzi huo umefanyika Leo Feb...
Posted on: February 14th, 2025
Na Mwandishi Wetu
Kituo cha afya cha Buhanda kilichopo Manispaa ya Kigoma/Ujiji kimeanza kutoa huduma ya upasuaji kwa Wajawazito wanaopata uchungu pingazi.
Huduma hiyo imeanza kutolewa ...