Posted on: February 11th, 2019
Na mwandishi wetu.
Baraza la madiwani la manispaa ya Kigoma/Ujiji juzi ijumaa February 8, liliweza kupitisha bajeti ya mwaka wa fedha 2019/2020 kiasi cha Tsh 35,175,030,076.00.
...
Posted on: February 4th, 2019
Wazee waishio katika halmashauri ya manispaa ya Kigoma/Ujiji ijumaa walikutana kwa lengo la kufanya uchaguzi wa viongozi wao.
Wazee hao walikutana katika ukumbi wa halmashuari ya Manispaa hiyo, huk...
Posted on: January 24th, 2019
Moja ya mkazi wa Bangwe aliyebainishwa kwa kutokuwa na vyoo kabisa akianza taratibu za ujenzi baada ya kukutana na maafisa afya nyumbani kwake
Kaimu mkuu wa idara ya usafi, afya na...