Posted on: February 12th, 2026
Na Mwandishi Wetu
Walimu wa MEMKWA Manispaa ya Kigoma/Ujiji wanaendelea na Mafunzo ya Siku tano (05) kuhusu malezi,unasihi na ulinzi wa mtoto yakifanyikia Shule ya Msingi Muungano.
...
Posted on: February 11th, 2026
Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma/Ujiji imepokea Watumishi wapya zaidi ya Mia moja (100) katika kada mbalimbali kwa lengo la kuimarisha utoaji wa huduma kwa wananchi.
Hayo yameelezwa Leo F...
Posted on: February 11th, 2026
Na Mwandishi Wetu
Mafunzo ya mfumo wa utoaji wa elimu kwa kutumia usaidizi na uatamizi kwa Maafisa elimu wa Kata na Walimu Wakuu wa Shule za Msingi Manispaa ya Kigoma/Ujiji yamehitimishwa Leo Febru...