Posted on: December 4th, 2025
Na Mwandishi Wetu
Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigoma/Ujiji Ndugu. Kisena Mabuba amewataka Wananchi wa Manispaa hiyo kuendelea kujivunia mji huo kutokana na ukuaji wa Kiuchumi na utekelezaji wa miradi...
Posted on: December 3rd, 2025
Na Mwandishi Wetu
Mafunzo ya uandaaji na utengenezaji wa zana za kufundishia na kujifunzia kwa Walimu wa darasa la kwanza na la pili yanaendelea Shule ya Msingi Kigoma.
Mafunzo ha...
Posted on: December 3rd, 2025
Na Mwandishi Wetu
Halmashauri ya Manispaa ya kigoma/Ujiji Jana Desemba 02, 2025 ilikabidhi pikipiki Sita (06) kwa vikundi viwili (02) vya Wajasiriamali ikiwa ni Mkopo wa 10% kwa Makundi ya Wanawake...