Posted on: October 11th, 2019
Halmashauri ya manispaa ya Kigoma/Ujiji leo October 10, imefanya ziara katika eneo la Katosho kata ya Gungu na uongozi wa Shirika la reli Tanzania(TRC) katika kutatua mgogoro wa kuvunja ma...
Posted on: October 4th, 2019
Halmashauri ya Manispaa ya manispaa ya Kigoma/Ujiji jana Octoba 3, imetoa mikopo ya shilingi million mia moja na sabini(170,000,000/=) kwa vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ...
Posted on: October 2nd, 2019
Halmashauri ya manispaa ya Kigoma/Ujiji imetenga zahanati ya Bangwe ikiwa ni maandalizi ya kuwahudumia wagonjwa wa Ebola endapo watabainika kuwepo katika manispaa hiyo ikiwa ni tamko la wizara ya afya...