Posted on: July 5th, 2019
Halmashauri ya manispaa ya Kigoma/Ujiji jana july 4, imesainisha mikataba ya ajira kwa watoza ushuru na wafanya usafi kwa watu zaidi ya themanini katika ukumbi wa halmashauri hiyo.
Akiwahutub...
Posted on: June 16th, 2019
Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma/Ujiji jana june 15, imepokea ugeni wa viongozi wa kisiasa kutoka nchini Burundi ikiwa ni kwa lengo la kuimarisha uhusiano wa Jumuia ya Afrika Mashariki na kujifunza n...
Posted on: May 9th, 2019
Na Mwandishi wetu.
Naibu waziri wa Tamisemi Mhe. Josepahati Kandege leo may 9, amezindua kongamano la uwekezaji mkoani Kigoma linalozungumzia fursa mbalimbali zilizopo mkoani hapo.
K...