Posted on: February 10th, 2025
Na Mwandishi Wetu
Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigoma/Ujiji Ndugu. Kisena Mabuba Leo Februari 10, 2024 amempokea Kamishina wa Tume ya Haki za binadamu na misingi ya Utawala Bora Mhe. Amina Talib Ali.
...
Posted on: February 7th, 2025
Na Mwandishi Wetu
Hashauri ya Manispaa ya Kigoma/ Ujiji imesaini Mkataba na Benki ya CRDB kwa ajili ya utoaji mikopo isiyokuwa na riba kwa makundi ya Wanawake, Vijana na Watu wenye ulemavu.
...
Posted on: February 6th, 2025
Na Mwandishi Wetu
Wajumbe wa Kamati ya fedha na uongozi Manispaa ya Kigoma Ujiji wakiongozwa na Meya wamesikitishwa na mwenendo na kasi ya ujenzi wa miradi ya TACTICS inayoendelea kutekelezwa...