Posted on: April 24th, 2025
Na Mwandishi Wetu
Hali ya kujaa kwa maji na kuathiri Wananchi wanaoishi jirani na Bwawa la Katubuka limeibuka Leo katika Baraza la Madiwani la kupokea na kujadili taarifa za Kata Manispaa ya Kigoma...
Posted on: April 23rd, 2025
Na Mwandishi Wetu
Ujenzi wa Shule Mpya ya Sekondari Katika Kata ya Kipampa unaendelea kwa fedha za Kitanzania zaidi ya Million mia sita (Tsh 603, 890,563.00/=) ikiwa ni fedha kutoka Serikali Kuu.
...
Posted on: April 22nd, 2025
Na Mwandishi Wetu
Kamati ya fedha na uongozi Manispaa ya Kigoma/Ujiji Leo April 22, 2024 imefanya ziara ya kutembelea na kukagua miradi ya maendeleo inavyotekelezwa katika Kata za Manispaa ya Kigom...